Matukio mbalimbali ya ufadhili
|
Katika ukurasa huu utaweza kuona baadhi ya picha zilizo chukuliwa siku ambayo mfadhili wa mtoto FRANK STANLEY KIZOGOLO (TZ-216-0052) alipo tembelewa na mfadhili wake MRS. STEPHANIE GREEN (US-2070350) ambae alionana nae Arusha tarehe 23/07/2010 |
|
|
|
|
|
|
Ni wakati mgumu wa kuagana na mfadhili mtoto Frank akilia |
Picha ya pamoja kwa mfadhili na watoto |
Mfadhili akimuaombea mtoto Frank tarehe 23/07/2010 |
Mfadhili wa Frank akiwa katika picha ya pamoja na watoto wengine anao wafadhili |
![]() |
|
|
![]() |
Mtoto Frank Kizogolo akiwa katika poz baada ya kuchukuwa chakula |
Mtoto Frank akishuka standi ya bus Morogoro |
Mfadhili wa Mtoto Frank katika picha ya pamoja. |
Mfadhili wa Mtoto Frank akiwaonyesha picha zao alizo wapiga. |
![]() |
|
|
![]() |
Mtoto Frank akimshukuru Mfadhili wake kwa zawadi alizo mpatia |
Mfadhili wa mtoto Frank akigawa zawadi kwa watotoanao wafadhili |
Mfadhili wa Mtoto Frank akimshukuru Frank kwa zawadi toka kwa wazazi wake |
Mfadhili wa Frank akionyeshwa jinsi ya kujifunga kitenge na staff toka CIT (LUCY) |