Matukio mbalimbali ya ufadhili
|
Katika ukurasa huu utaweza kuona baadhi ya picha zilizo chukuliwa siku ambayo mfadhili wa mtoto FRANK STANLEY KIZOGOLO (TZ-216-0052) alipo tembelewa na mfadhili wake MRS. STEPHANIE GREEN (US-2070350) ambae alionana nae Arusha tarehe 23/07/2010 |
|
|
|
|
|
|
Mfadhili wa mtoto Frank Kizogolo akimuonyesha Albam |
Mfadhili akimsimulia Frank juu ya picha za watoto wake kwenye album |
Mfadhili wa mtoto Frank akijibu baadhi ya maswali ya mtoto. |
Mtoto Frank akimsaidia Bag mfadhili wake. |
![]() |
|
|
![]() |
Mtoto Frank Kizogolo akiwa katika Basi Arusha akati wa kurudi dodoma tarehe 24/07/2010 |
Abiria wakipanga mabag yao kwenye bus pamoja na Frank kabla ya kuondoka Arusha |
Mtoto Frank akishuka kula chakula cha mchana MOMBO |
Mtoto Frank katika POZ mlangoni baada ya kuchukuwa chakula chake. |
![]() |
|
|
![]() |
Mtoto Frank akipapata chai pamoja na Mfadhili wake |
Mfadhili wa mtoto Frank akikagua kamera yake. |
Mtoto Frank wa katikati akibembea. |
Frank akijifunza kupiga picha na mfadhili wake akifurahi. |