Matukio mbalimbali ya ufadhili

Home Contact Guest Book

Matukio

 

 

Back to Previous Page

 

Katika ukurasa huu utaweza kuona baadhi ya picha zilizo chukuliwa siku ambayo mfadhili wa mtoto Mwanaidi Mwalimu Athumani (TZ-216-0054) alipo tembelewa na mfadhili wake FRAU INGE KUHLMANN (DE-10373) ambae alikuja na mumewe tarehe 24/06/2010

       

Mfadhili wa mtoto Mwanaidi wakionyeshana zawadi tarehe 24/06/2010

Mfadhili nakiwa ndani ya darasa ambalo mtoto Mwanaidi anasoma.

Mfadhili katika picha ya pamoja.Kulia ni mkurugenzi wa kituo sambamaba na Mchungaji Kiongozi. Kushoto ni Muhasibu

Mfadhili Inge Kuhlmann akipewa zawadi na mzazi wa mtoto Mwanaidi Athumani.
       
 
Mfadhili wa mtoto Mwanaidi akiwa na Mumewe katika picha ya pamoja baada ya kupewa zawadi zao wote wawili.

Picha ya pamoja nje ya majengo ya shule ya msingi Nkuhungu shule anayo soma Mwanaidi

Mfadhili akipata mtoto Mwanaidi zawadi nyumbani kwao Chinangali west Dodoma

Mfadhili akiwa na mtoto darasa analo soma mtoto Mwanaidi Athumani
       
Mfadhili akikabidhi zawadi ya Chakula kwa mama wa mtoto Mwanaidi kwaajilia ya familia

Mfadhili wa mtoto akiwa chumbani kwa mtoto Mwanidi.

Kikundi cha kaka wa mtoto Mwanidi kikitumbuiza mbele ya Mfadhili Kituoni.

Kaka wa Mwanaidi anaitwa Selemani akipokea zawadi aliyo pewa na mfadhili.
   

Back to Previous Page

 
Copyright © 2008 GKISSANGA All rights reserved.