Matukio mbalimbali ya ufadhili

Home Contact Guest Book

Matukio

 

More Picture

Back to Previous Page

 

Katika ukurasa huu utaweza kuona baadhi ya picha zilizo chukuliwa siku ambayo mfadhili wa mtoto Mwanaidi Mwalimu Athumani (TZ-216-0054) alipo tembelewa na mfadhili wake FRAU INGE KUHLMANN (DE-10373) ambae alikuja na mumewe tarehe 24/06/2010

       

Mfadhili wa mtoto Mwanaidi walipo kutana kwa mara ya kwanza tarehe 24/06/2010

Mfadhili na mumewe wakiwa katika ofisi ya Mchungaji Kiongozi na mtoto mwa

Mfadhili akisaini kitabu cha wageni kwa Mchungaji. Kushoto ni Mchungaji Vick

Mfadhili Inge Kuhlmann akisalimiana na shangazi wa mtoto Mwanaidi
       
 
Kaka yake mtoto Mwanaidi akiwa na kikundi chake cha ngoma wakitumbuiza

Mume wa mfadhili akichuku chai katika ofisi ya Huduma ya mtoto

Mfadhili akipata Break Fast katika ofisi ya Huduma ya mtoto pamoja na mtoto Mwanaidi

Kikundi cha ngoma cha kaka yake Mwanaidi wakiruka sarakasi pamoja na ngongoti
       
Nyumbani kwa mtoto

Mtoto wa kwaya ya kituo akimpa zawadi ya batiki mfadhili

Mtoto wa Kiume wa kwaya akimpa zawadi mume wa mfadhili

Mfadhili katika picha ya pamoja na watoto wa kwaya ya kituo TGC
       
Mfadhili akikata Cake ya upendo na mtoto

Mfadhili akilichana Cake na mtoto Mwanaidi

Mume wa mfadhili akilishana Cake na mtoto

Mfadhili akifungua zawadi aliyo pewa na Kituo
       

Mfadhili akionyesha Sugar Pot zawadi aliyo pewa na kituo

Mfadhili akifurahia zawadi aliyopewa.

Mchungaji Victoria Ntenga akikabidhi Tray kama zawadi kwa niaba ya Kanisa.

Wakiwa katika nyuso za furaha ndivyo inavyo onekana hapa tarehe 24/06/2010

 

More Picture

Back to Previous Page

 
Copyright © 2008 GKISSANGA All rights reserved.