RATIBA YA KWAYA NA MALENGO
TAREHE |
RATIBA/ MALENGO |
PICHA/KUMBUKUMBU |
Ifuatayo ni Ratiba ambayo Kwaya ina malengo kwa kipindi hiki pamoja na malengo iliyo jipangia kufanya. |
24/09/2007 |
Ununuzi wa Kinanda cha Kwaya | |
02/02/2008 | Kuanza kurekodi Albamu ya kwanza ambayo siku hii wali rekodi nyimbo tatu (3) | |
07/02/2008 | Kurekodi nyimbo zingine nne (4) | |
19/02/2008 | Ununuzi wa vyombo vya muziki Mixer, Speeker, DvD, Professional Power Amplifier kwaajili ya kwaya. | |
27/02/2008 | Kurekodi nyimbo zingine mbili (2) | Picha za wakiwa Studio GC |
03/03/2008 | Kuviweka WAKFU vyombo vyote vya Muziki vya kwaya pamoja na kuhudumu Kanisani (KKKT Usharika wa Nkuhungu) kwa mara ya kwanza na vyombo. | Picha za Uzinduzi |
16/03/2008 | Kuhudumu Ibada zote 2 Kanisa KKKT Nkuhungu pamoja na mkutano wa Injili Saa 9.00 Jioni | |
18/03/2008 | Kuhudumu katika mkutano wa Injili KKKT Nkuhungu Saa 9.00 Jioni | |
20/03/2008 | Kuhudumu katika mkutano wa Injili KKKT Nkuhungu Saa 9.00 Jioni | |
20/04/2008 | Kuhudumu katika Ibada zote mbili KKKT Nkuhungu na baadae saa 8:00 mchana kwenda kuimba kwenye Tamasha la uimbaji KKKT Mnadani siku ya KANTATE DOMINO. | |
23/03/2008 | Kuhudumu Kanisani katika Ibada zote mbili KKKT Nkuhungu na Mchana watakwenda kwenye TAMASHA La watoto Jamhuri Stadium. Saa 8.00 Mchana | |
04/05/2008 | Kwaya kwenda AICT KIZOTA kwenye tamasha la kwaya za watoto Cluster ya magharibi - Dodoma | |
09/05/2008 | Kuhudumu katika siku ya maombi ya muungano wa vyama vya Biblia ulimwenguni. KKKT Nkuhungu. | |
11/05/2008 | Kuimba kwenye Tamasha la vijana KKKT Aruha Road - Dodoma | |
13/07/2008 | Kuhudumu katika mkutano wa Injili FPCT Nkuhungu | |
17/08/2008 | Kuhudumu Kanisani katika Ibada zote mbili KKKT Usharika wa Dodoma Mjini | |
17/08/2008 | Kuhudumu kwa mzazi wa mtoto Specioza Herman Mathew Swaswa Dodoma | |
31/08/2008 | Kuhudumu katika Ibada zote Kanisa la KKKT Usharika wa Dodoma mjini. | |
09/10/2008 | Ununuzi wa vyombo vya Kwaya Music Rack, Bass Guitar, Solo Guitar, Mic Wireless, na Cable Extension | Picha za Vyombo husika |
12/10/2008 | Kuweka wakfu rasmi Kanisani KKKT Nkuhungu vyombo vya kwaya vilivyo nunuliwa tarehe 09/10/2008 | |
02/11/2008 | Kuhudumu katika mahafali ya watenda kazi wanao maliza mafunzo ya ONE MONTH TRAINING | |
09/11/2008 | Kushiriki katika tamasha la Vijana KKKT Arusha Road | |
February 2009 | Kuanza kurekodi mkanda wa video ( Video Shooting ) | |