Matukio Mbalimbali ya uzinduzi wa vyombo vya kwaya

Home Contact Guest Book

 

Page ya Kwaya

Page ya Kwaya

Page ya Kwaya

Mchungaji kiongozi wa KKKT Usharika wa Nkuhungu Dodoma akiviweka WAKFU vyombo vya kwaya ya watoto ili viweze kutumika kwa kazi ya Mungu. Watoto wa Kwaya ya TZ-216 ELCT wakitumbuiza Kanisani siku ya Uzinduzi wa vyombo vyao vya kwaya. Kwaya ya watoto wakimalizia wimbo wao wa Dunia kwa kumuomba Mungu aweze kuwabariki Yatima wote kwani Mungu kwao ndio faraja na kimbilio lao siku zote.
 

 

 

Siku ya uzinduzi wa vyombo vya kwaya ya watoto. Wimbo wa Dunia uliweza kuwaliza waumini wa KKKT NKUHUNGU walio sali siku hiyo kama picha inavyo onyesha hapa. Watoto wa kwaya wakiimba wimbo wa Dunia inavyo watesa watoto yatima. Siku ya uzinduzi wa vyombo vyao vya kwaya. Hapa ni katika kanisa la KKKT Usharika wa nkuhungu Dodoma Baadhi ya waumini wa Usharika wa KKKT Nkuhungu wakitoa machozi baada ya kwaya ya watoto walipo kuwa wakiimba wimbo wao wa Dunia inavyo watesa yatima. Siku ambayo kulifanyika uzinduzi wa Vyombo vyao vya kwaya.

Back

Back

Back

 
Copyright © 2007 GKISSANGA All rights reserved.