UTUME / MISSION

Home Contact Guest Book

 

     
 

UTUME WA COMPASSION INTERNATIONAL TANZANIA (CIT)

CIT ina shauku ya kuitimiza kazi ya utume ya Compassion International kwa kushirikiana na makanisa ya kiinjili yaliyoko Tanzania, kuyawezesha na kuyatia moyo katika kutekeleza Agizo kuu, mkazo ukiwa kwa watoto wahitaji, kwa mtazamo wa kuwawezesha kuwa, wakristo kamili na watu wazima wanaojitosheleza na wanaojua wajibu wao.

MISSION STATEMENT FOR COMPASSION INTERNATIONALI TANZANIA  (CIT)

CIT seeks to fulfill the mission of Compassion International by partnering Commission focused on needy children with a view to making them responsible and fulfilled Christian adult.

UTUME WA COMPASSION INTERNATIONAL (CI)

Kufuatana na agizo kuu, Shirika la Compassion International, linasimama kama wakili wa watoto, kuwatoa kwenye umasikini wa Kiroho, Kiuchumi, Kijamii na umasikini wa Mwili ili kuwawezesha wawe wakristo kamili na watu wazima wanojua wajibu wao na wanaojitosheleza.

MISSION STATEMENT FOR COMPASSION INTERNATIONAL (CI)

In response to the Great Commission, Compassion International exists as an advocate for children, to release them for their Spiritual, Economic, Social and Physical poverty and enable them to become responsible and fulfilled Christian adults.

TAMKO LA UTUME WA KITUO TZ - 216 ELCT NKUHUNGU

Ni wajibu wetu kama Kanisa kuwa wakili mwema kutekeleza Agizo la Compassion International kwa kushirikiana na Compassion International Tanzania, kusimamia haki kwa mtoto mhitaji katika kumjenga Kiroho, Kiafya, kielimu, Na Kiuchumi ili kumuwezesha awe Mkristo kamili na mtu mzima anae jua wajibu wake na anae jitosheleza.

 
     
Copyright © 2007 GKISSANGA All rights reserved.