sifa Welcome To My Homepage

 

Sifa za kuwa kiongozi kwa watoto.

Home Contact Guest Book

 

 

SIFA ZA KUGOMBEA UONGOZI KATIKA BUNGE LA WATOTO - TZ-216 ELCT NKUHUNGU STUDENT C.

 
Viongozi wa 2007    Viongozi wa 2008
  1.   Mtoto awe na miaka 10 na kuendelea.  
  2.   Mtoto awe darasa la 4 na kuendelea.  
  3.   Mtoto ajue kusoma na kuandika Kiswahili. Kwa upande wa mtoto  kujua kusoma na kuandika kiingereza ni sifa ya ziada.  
  4.   Mtoto ashuhudiwe matendo mema na watoto wenzake wote Kituoni pamoja na jamii inayo mzunguka.  
  5.   Mtoto asiwe Mtoro Kituoni pamoja na Shuleni.  
  6.   Mtoto aliye okoka na kumkiri Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake.  
  7.   Mtoto awe na ujasiri wa kutosha ambao ataweza kusimama na kujieleza mbele ya umati wa watu wasio pungua mia.  
     
     
Copyright © 2007 GKISSANGA All rights reserved