KWAYA YA WATOTO TZ-216
Matukio mbalimbali ya kwaya katika picha.
|
|
|
|
| Sollo wakiingiza sauti Studio tarehe 27/02/2008 | Mtoto Christa S. Kifunta akiimba kwa furaha tarehe 27/02/2008 | Mtoto Elly. D. Mwakalukwa akiimba kwa hisia Studio tarehe 27/02/2008 |
|
|
|
|
| Sauti ya tatu wakiimba studio tarehe 27/02/2008 | Watoto wa sauti ya kwanza wakiingiza sauti zao studio tarehe 27/02/2008 | Watoto wa sauti ya pili wakiingiza sauti studio tarehe 27/02/2008 |
|
|
|
|
| Wakiondoka toka kituoni watoto wa kwaya kwenda kurekodi Studio tarehe 27/02/2008 | Kwa shangwe na vifijo ndio ilikuwa siku ya tarehe 27/02/2008 watoto wakifurahia baada ya kumaliza kuimba nyimbo yao ya mwisho. | Mtoto Spesioza Herman akifurahi na wezake baada ya kumaliza kuimba nyimbo ya mwisho Studio tarehe 27/02/2008 |
| PREVIOUS |
MORE PICTURE |