Contact Contact

KAZI MBALI MBALI ZA WATOTO

Home Contact Guest Book

TZ-216 ELCT NKUHUNGU STUDENT CENTRE

 

MTOTO (Aisha Mohamed Gonta TZ- 216-0055 ) akishiriki katika kazi mbalimbali ikiwemo ya kuwasaidia wazazi katika kukuna nazi siku ya program ya watoto Jumamosi ya tarehe 12/01/2008

Watoto wa kituo wakiwasaidia wazazi wao kuosha vyombo kituoni siku ya Program yao Jumamosi tarehe 12/01/2008