Matukio na Shuhuda za Wazazi wa CSP
![]() |
Karibu katika ukurasa wa SHUHUDA mbali mbali za wamama na watoto wa Huduma hii ya CSP iliyopo Kituo. Katika ukurasa huu utaweza kusoma shuhuda mbalimbali wakieleza mambo makuu na makubwa ambayo Mungu amewatendea hadi leo hii. |
![]() |
|
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
| Mkurugenzi wa kituo cha Huduma ya mtoto TZ-216 ELCT NKUHUNGU akiwa ofisini. |
Mzazi wa mtoto akihojiwa juu ya Huduma hii tarehe 10/06/2010 |
Mzazi wa mtoto namba (C-13-032) akihojiwa na Ndugu Yona Nyarandu toka CIT juu ya Huduma hii ya CSP Tarehe 10/06/2010 |
Mchungaji kiongozi kulia akiombea Huduma ya CSP pamoja na watendakazi wa Huduma ya mtoto |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
|
Mzazi wa mtoto namba (C-13-021) akihojiwa juu ya Huduma hii ya CSP Tarehe 10/06/2010 |
Mzazi wa mtoto namba (C-13-021) akiwa nyumbani kwake |
Mzazi namba (C-13-096) akihojiwa juu ya Huduma hii ya CSP Tarehe 10/06/2010 |
Jengo la CSP pamoja na Stimulation Room likiwa katika hatua nzuri ya ujenzi. |









